Liwalo na liwe ccm itatawala milele!
we kiboko
liwalo na liwe, lazima niende mbinguni maana bwana yesu ameenda kuandaa makazi kwa ajili yangu.
wasiosoma ni chakula wasomi.
Liwalo na liwe ukiboa nakulamba ban km kawa
Liwalo na liwe akamatwe auliwe.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hahaa kama kweli basi lazima ntakuwa nshakuona! Ngoja nitengeneze miundombinu ya utambuzi