Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

Liwalo na liwe ndo naondoka chit chat hata kama kuna mtandao na watu hawataki kutulizana.
 
mum measkron, liwalo na liwe me ndo nshamuacha mkweo platozoom. nimeokoka now days nasali kwa mchungaji george pale JRC KIRUMBA
 
Last edited by a moderator:
mum measkron, liwalo na liwe me ndo nshamuacha mkweo platozoom. nimeokoka now days nasali kwa mchungaji george pale JRC KIRUMBA

Hahaa kama kweli basi lazima ntakuwa nshakuona! Ngoja nitengeneze miundombinu ya utambuzi
 
Last edited by a moderator:
Liwalo na liwe lazima magamba waaibike mwaka huu
 
Liwalo na liwe akamatwe auliwe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
liwalo na liwe ngoja twende na hii awamu yetu pendwa ya mnyoosho
 
liwalo na luwe lazima kata funua
 
Liwalo na liwe lazima nihame tanzania
 
Back
Top Bottom