Tungejua ugumu wa cheo, wengi tungekaa pembeni

Tungejua ugumu wa cheo, wengi tungekaa pembeni

Kwa hivyo. Tanzania kuna mwanasiasa 1 tu? Mbona unatia aibu jukwaa?
🤣🤣 kila la kheri mkuu
Nb: wewe ndo umevamia comment yangu kuhusu mgombea wa ccm -- fatisha reply utaona
 
Unafiki. Rejea sifa za mnafiki utaona kwa namna gani watu wamechagua kuwa wanafiki kwa makusudi. Na MUNGU hapendi mtu mnafiki.
Sahihi kabisa, watu wanafurahisha nafsi zao huku wakijua kabisa wanafanya kinyume na mafundisho
 
Back
Top Bottom