M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Aug 18, 2025 Thread starter #21 Lax said: Sasa unalalamika nini, wakati chama chake kimemteua? Kwa kishindo? Click to expand... Kwani ktk maada katajwa mtu? Maaada inazungumzia dhamana ya cheo ktk uislam
Lax said: Sasa unalalamika nini, wakati chama chake kimemteua? Kwa kishindo? Click to expand... Kwani ktk maada katajwa mtu? Maaada inazungumzia dhamana ya cheo ktk uislam
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Aug 18, 2025 #22 Malaria 2 said: Kwani ktk maada katajwa mtu? Maaada inazungumzia dhamana ya cheo ktk uislam Click to expand... Uzi upo jukwaa la siasa mkuu,
Malaria 2 said: Kwani ktk maada katajwa mtu? Maaada inazungumzia dhamana ya cheo ktk uislam Click to expand... Uzi upo jukwaa la siasa mkuu,
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Aug 18, 2025 Thread starter #23 Lax said: Uzi upo jukwaa la siasa mkuu, Click to expand... Kwa hivyo. Tanzania kuna mwanasiasa 1 tu? Mbona unatia aibu jukwaa?
Lax said: Uzi upo jukwaa la siasa mkuu, Click to expand... Kwa hivyo. Tanzania kuna mwanasiasa 1 tu? Mbona unatia aibu jukwaa?
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Aug 18, 2025 #24 Malaria 2 said: Kwa hivyo. Tanzania kuna mwanasiasa 1 tu? Mbona unatia aibu jukwaa? Click to expand... 🤣🤣 kila la kheri mkuu Nb: wewe ndo umevamia comment yangu kuhusu mgombea wa ccm -- fatisha reply utaona
Malaria 2 said: Kwa hivyo. Tanzania kuna mwanasiasa 1 tu? Mbona unatia aibu jukwaa? Click to expand... 🤣🤣 kila la kheri mkuu Nb: wewe ndo umevamia comment yangu kuhusu mgombea wa ccm -- fatisha reply utaona
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Aug 18, 2025 #25 Zemanda said: Unafiki. Rejea sifa za mnafiki utaona kwa namna gani watu wamechagua kuwa wanafiki kwa makusudi. Na MUNGU hapendi mtu mnafiki. Click to expand... Sahihi kabisa, watu wanafurahisha nafsi zao huku wakijua kabisa wanafanya kinyume na mafundisho
Zemanda said: Unafiki. Rejea sifa za mnafiki utaona kwa namna gani watu wamechagua kuwa wanafiki kwa makusudi. Na MUNGU hapendi mtu mnafiki. Click to expand... Sahihi kabisa, watu wanafurahisha nafsi zao huku wakijua kabisa wanafanya kinyume na mafundisho