Tungekuwa na Baraza la Mawaziri sharp na smart tungekuwa tunaipeleka SGR Uganda kwa focus ya kuifikisha Sudan Kusini na Afrika ya Kati

Tungekuwa na Baraza la Mawaziri sharp na smart tungekuwa tunaipeleka SGR Uganda kwa focus ya kuifikisha Sudan Kusini na Afrika ya Kati

Kijografia kwetu tunaweza kufanya vizuri kwa miaka mingi kama tutafikisha SGR burundi then DRC..
Uwepo wa TAZARA umefanya vizuri? kabla ya hiyo SGR kwenda Burundi..jenga miundombinu ya kusaidia nchi na watu wako, achana na kufikiria watu ambao huna right kupanga vipaumbele vyao.
 
Back
Top Bottom