Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Sidhani kama unastahili kujibiwaAcheni kutumia simu kelele za nini ,watanzania ni wajinga Sana kwani kabla ya simbank hamkutuma pesa
USSR
Anastahili kujibiwa akimanisha jino kwa jino lakini sini kweli kabla ya sim banking nini ilitumika hakuna mwananchi anataka kurudi huko tufanyaje kama serikali inataka kutufikisha huko au wewe unaona ipi njia mbadala ya kumpunguzia mwananchi makato makubwa kiasi hichi?Sidhani kama unastahili kujibiwa
Kwa vile mababu zetu walivaa magome ya miti hivyo sasa turudie huko kwa vile bei za nguo ziko juu siku hizi,huna adabu kabisa kuwaita Watanzania wajinga.Acheni kutumia simu kelele za nini ,watanzania ni wajinga sana kwani kabla ya simbank hamkutuma pesa
USSR
Huwezi kujibu ,akili kisodaSidhani kama unastahili kujibiwa
Lipa sasa utakaaunapiga kelele na mmeo mpaka lini?Wewe ndiye mjinga na ukoo wako wote,kwa vile mababu zetu walivaa magome ya miti hivyo sasa turudie huko kwa vile bei za nguo ziko juu siku hizi,huna adabu kabisa kuwaita Watanzania wajinga.
Wazo lako inaweza kuwa ni jema, ila ningependa kuelimishwa ni wapi huko ambako Mawaziri hawateuliwi?Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu. Hii ni dharau kubwa...
Wewe junya huna adabu,mimba za kutungwa kwenye mikesha ya mwenge ndiyo zinatuletea takataka kama wewe.Lipa sasa utakaaunapiga kelele na mmeo mpaka lini?
USSR
Alimaanisha au wewe umemaanisha?The current administration imekumbatia mfumo wa kibeberu wa kiuchumi.
Tax relief ipo Kwa matajiri ambao ni wachache majority wakiwa maskini ambao walifaidi awamu ya tano.
Sasa matajiri nao wanashangilia.
Rais aliposema Kodi ikusanywe kwa akili alimaanisha wale matajiri wasibugudhiwe.
Lakini anasahau kuwa anapoteza support ya wengi ambao ni maskini.
Sijui Kwanini Rais anafanya Kila jitihada za kukataliwa na majority??
Yaani Kila maamuzi yanalenga kuumiza wengi.
Totally unfair.
Unachokisema hapo juu hakiwezekani kwa setup ya serikali. Hakuna nchi yenye kipengele cha katiba unachosema wewe? Hujiulizi kwanin? Taja nchi ambayo mawaziri hawateuliwi? Tunachotaka ni mawaziri wasiwe wabunge na pia wathibitishwe na chombo kingine kama seneti baada ya uteuzi wao (check and balance). Rais lazima aunde serikali ambayo atafanya nayo kazi. Sema tunatakiwa kuhakikisha aliyemteua anafit kwenye hiyo nafasi kwa kutumia vyombo vya uwakilishi. Kama hafai uteuzi unakataliwa anatafutwa mtu mwingine. Hicho kitu hakipo kwenye katiba kwa sasa na ndo kinafanya madaraka ya Rais yaonekane makubwa, sababu hakuna anayeweza kuzuia uteuzi wa Rais. Nchi kama Kenya kipo hicho kipengeleKwa namna ya dharau aliyonayo Mwigulu kwa watanzania ipo haja kuwa na katiba inayotaka mawaziri kuwa na ajira za mikataba akileta dharau na upuuzi wananchi wanamtimua.
Ndio wale wakututaka tuhamie burundi sio?Acheni kutumia simu kelele za nini, Watanzania ni wajinga sana kwani kabla ya simbank hamkutuma pesa
Tena za kichina basi.Tumeipenda wenyewe chaguo letu milele.. ndindiii wacha waisome namba eeeh ccm mbele kwa mbelee