Maendeleo ya mtoa mada ni ujenzi ujenzi !Tungerudi nyuma Sana kimaendeleo! Afadhali Kaenda! Ukijifunza maana Halisi ya maendeleo utaelewa nachosema!
WaelezeAnza na CHATO mbona ameshindwa kupeleka maendeleo huko? nyumba za tembe na umasikini wa kutupwa huko
Maendeleo kapeleka kwenye kijiji chake panaitwa Kilimani. OverWaeleze
Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika.
Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo tungekuwa wapi?
Sgr hii ambayo leo hii tunaihangaikia ingeanza wakati wa Mzee Mwinyi leo tungekuwa hatujamaliza? JNHP ingeanza wakati wa Mzee Kikwete tungekuwa hatujamaliza?
Taifa letu linahitaji viongozi wenye uthubutu ili tujikwamue.
View attachment 2120610
Hawezi kufafanua huyo na badala yake atatoa povu!!Fafanua, siasa zipi za kishamba? Kutekeleza miradi ya kimkakati kwa maendeleo ya taifa.
Watakupinga.Ogopa sana kinywa ambacho hakikiri udhaifu!
Udhaifu na kushindwa kwetu, upon mikononi mwetu, aonavyo MTU nafsini, ndivyo alivyo
Endeleeni kukiri Tanzania ni nchi masikini badala ya watanzania ndio masikini na wanahitaji mtu wa kugeuza utajiri wa nchi yao kuwaondolea umasikini wao!
Tanzania siyo nchi masikini
Pumzika kwa amani Mwamba wa Africa JPM