Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi, usilisahau li Chama dk ya 75 linaweza kumtungua Pinpin wetu.

Sisi tumeona kupeleka timu katika mazingira haya wakati sisi tegemeo letu ni Kibu D na Mpanzu haitakuwa busara.

Asanteni.
 
Kabisa acha tu wapewe hizo point 3 na magoli 3 kuliko aibu
 
🤣🤣 ndo utumie Li...😂
 
images.jpeg
 
Simba wameona bora iwe tu lawama, kuliko fedheha!
 
Back
Top Bottom