Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa).
Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni mdogo, ila kutokwepo kwa Tume Huru, ndio kunampa matumaini ya asilimia fulani ya kutangazwa mshindi pasipo kushinda, na matumaini hayo, ndio yanamfanya aweze walau kuwa na nguvu ya kuendelea na kampeni, vinginevyo angekuwa frustrated zaidi ya sasa na pengine angefikia hatua hata ya kupiga magoti majukwaani kuomba kura.
Hata wafuasi wake wamepoteza matumaini na nao wao wanategemea mbeleko ya Tume kama mgombea wao.
Yeye na wafuasi wake wakiangalia video za mpinzani wake, wanatamani hata uchaguzi usiwepo au ilitokea jambo uchaguzi usifanyike, ila wajue hakuna kitachobadilika na safari hii wanalo.