Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

Tundu lisu bado sana kupambana na magufuri, Sema ni mchafuzi tu wa muda,

Kila anapopita pia kuna makundi yanarudi kufuta nyayo zake,
Lissu size yake kina katambi, msukuma, lijualikali. Magufuli moto mwingine.
 
22 September 2020
Karagwe, Tanzania

Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020

Tundu Lissu : Baada ya Tamko Langu La Vitambulisho vya Tshs. 20,000 , Magufuli amelegea kisiasa na kusema si lazima sasa kama ni hivyo Magufuli afute sheria ya Waziri wa Fedha ya kuhusu vitambulisho kesho

Binafsi nadhani Mbeleko iko upande wa pili kwamaana ukiafuatilia mwenendo wa Kampeni tu hivi sasa utaona ni namna gani upinzani hasa mgombea wa Chadema anabwebwa vilivyo. Maana Kauli za vitiosho anazozitoa majukwaani kila siku na kuhamasisha watu waingie barabarani kama anaemtaka yeye asipotangazwa ni ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi lakini tume iko kimya hivyo tunaweza kusema nao wanabebwa.

Lakini nionavyo mimi Tume imeamua kukaa kimya kutenda haki na kuacha uchaguzi ufanyike, Angalia hata Polisi imeamua kutenda haki hivi sasa ili uchaguzi ufanyike na mambo mengine yaendelee kwa amani lasivyo kamata kamata ingekua ya kutosha.

Hivyo tutulie ndugu zangu maana hiyo hiyo tume mnayo ituhumu itaendesha uchaguzi na kuwatangaza washindi wa pande zote mbili.
 
Kwani uliambiwa video ndio zinapiga Kura subiri uone endelea kujifariji kijinga JPM anatoboa tena kwa kishindo Sasa kwa taarifa yako
 
Una utapiamlo wewe!!
Katengeneze tume yako ujitangazie ushindi wako, sisi Tume yetu ni Huru na ipo kwaajili ya Watazania.
Sio Wahangaikaji wa Mitandaoni.
Nakuhakikishia mgombea wako ana pumzi ndogo sana ya kushindana na ilani bora inayohitajika kwa Maendeleo yetu sisi Watanzania
 
Kwani uliambiwa video ndio zinapiga Kura subiri uone endelea kujifariji kijinga JPM anatoboa tena kwa kishindo Sasa kwa taarifa yako
Akijaza jpm watu mafuriko. Akijaza Lissu video hazipigi Kura tulieni hivyo hivyo hadi betri ichomoke
 
Una utapiamlo wewe!!
Katengeneze tume yako ujitangazie ushindi wako, sisi Tume yetu ni Huru na ipo kwaajili ya Watazania.
Sio Wahangaikaji wa Mitandaoni.
Nakuhakikishia mgombea wako ana pumzi ndogo sana ya kushindana na ilani bora inayohitajika kwa Maendeleo yetu sisi Watanzania
Wewe ndio unapumzi kumzidi JPm .....malofa kweli yapo kila mahala.
 
Jengeni vyama kuanzia ngazi za chini kabisa, viwe ni vyama hai vyenye kufanya mikutano kwa mujibu wa ratiba zenye kueleweka.

Hizi siasa za bahati nasibu za kutegemea umaarufu wa mgombea miezi miwili au mitatu kuelekea uchaguzi mkuu haziwezi kujenga vyama.

Tume huru ni kisingizio cha kukwepa majukumu ya ukuzaji wa vyama vya siasa. Mikutano ya ndani ikitumika vyema itavikuza vyama.
Hahahaa.. Lissu chomoa betri baba.
 
Back
Top Bottom