Tungekuwa na utawala wa sheria , Kikwete angekuwa jela kama Nicolas Sarkozy wa Ufaransa

Tungekuwa na utawala wa sheria , Kikwete angekuwa jela kama Nicolas Sarkozy wa Ufaransa

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Hivyo tu yaani. Maana kuna mambo yanatugharimu kama taifa kwa sasa. Hili lilikuwa ni chaguo lake kama running mate wa baba Jesy.. kumbe kete za draft zilikuwa zinapushiwa kuanzia 10 to 20 years kwa ajili ya kutengeneza mazingira...

Anyway siwezi kuwaambia kila kitu. Nyie ni watu wazima mnaelewa.. Ova
 
Sema jamaa nafki kishenzi ndio maana zilikuwa hazipandi na Magufuli. Ona lilivyomsariti Lowasa na sasa Makamba Jr. Hata hivyo hili taifa adui yetu ni CCM ni lazima tuwatoe Kwa namna yoyote Ile .
 
Sema jamaa nafki kishenzi ndio maana zilikuwa hazipandi na Magufuli. Ona lilivyomsariti Lowasa na sasa Makamba Jr. Hata hivyo hili taifa adui yetu ni CCM ni lazima tuwatoe Kwa namna yoyote Ile .
Aisee acha kabisaa.. ni kama alikuwa anamhujumu yule mzee sana ...
 
Back
Top Bottom