Tungekuwa na Vyombo vya Usalama vyenye Uzalendo, Sheikh Mwaipopo angeshatiwa nguvuni

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana.

Kama magaidi yanajitangaza wazi wazi na hayafanywi chochote basi HATUNA serikali Kila mtu awe na kikundi chake Cha ulinzi Cha kujilinda yeye na familia yake.

Pia soma
 
Ukimuona nyani mjini tambua kaletwa..!
Your browser is not able to display this video.
 
Hata raia ni maiti haziwezi fufuka yan mtu anasema kauli hiyo ila tuko kimya sasa nn wafanye kama wenye mamlaka tuko kimya hovyo
 
Kwamba huoni kafungwa na hivyo Yyombo?
 
Siku zote naamini watakaoleta machafuko Tanzania ni ccm. Huu mfano wa mwaipopo umeshaingia kwenye rekodi intaneti haisahau.
 
Uk Ukiona hivyo jua wapo chawa watumwa ma wenye maslahi yao
 
Wewe unadhani nyuma yake kuna nani? The mazafakas are serving the same mob boss!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…