100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Uchumi upi? Mmeachiwa nchi toka 1961, bado mnapewa msaada kujenga vyoo..Siasa achana nazo Jenga uchumi wako kwanza.
Uchumi upi? Mmeachiwa nchi toka 1961, bado mnapewa msaada kujenga vyoo..Siasa achana nazo Jenga uchumi wako kwanza.
Acheni taharukiTumeuliza makusudi ili labda tusije kushambulia Mwehu
Mwaipopo ameropoka na amelindwa, swali letu ni hili, ni mzima au ni kichaa?tusije kuchuma dhambi
Wanapataje?Usheikh hausomewi hivyo
Yule ni mwehuTumeuliza makusudi ili labda tusije kushambulia Mwehu
Mwaipopo ameropoka na amelindwa, swali letu ni hili, ni mzima au ni kichaa?tusije kuchuma dhambi
InawezekanaKumbe ndio huyu alikuwa anaambatana na Mazinge?
Maneno aliyosema Mwaipopo angeyasema Askofu sasa hivi angekuwa ananyea debe na Kanisa lake kufungwa, lakini kwa vile Mwaipopo ni Sheikh wa BAKWATA ambayo ni jumuiya ya CCM basi hakuna hatua yoyote.Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana.
Kama magaidi yanajitangaza wazi wazi na hayafanywi chochote basi HATUNA serikali Kila mtu awe na kikundi chake Cha ulinzi Cha kujilinda yeye na familia yake.
Pia soma
Ukiona Kobe juu ya mti Jua kapandishwa.Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana.
Kama magaidi yanajitangaza wazi wazi na hayafanywi chochote basi HATUNA serikali Kila mtu awe na kikundi chake Cha ulinzi Cha kujilinda yeye na familia yake.
Pia soma
Angekuwa Chadema IngefutwaKwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana.
Kama magaidi yanajitangaza wazi wazi na hayafanywi chochote basi HATUNA serikali Kila mtu awe na kikundi chake Cha ulinzi Cha kujilinda yeye na familia yake.
Pia soma
Huo usheikh kaupata wapi na lini John Mwaipopo?Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana.
Kama magaidi yanajitangaza wazi wazi na hayafanywi chochote basi HATUNA serikali Kila mtu awe na kikundi chake Cha ulinzi Cha kujilinda yeye na familia yake.
Pia soma
Sheikh ni Muislam yeyote mwenye hekima katika mambo yote kama usuluhishi na mengineWanapataje?
Kwahiyo Moderator mnamuogopa Tapeli Mwaipopo hadi muunge huu Uzi?Tumeuliza makusudi ili labda tusije kushambulia Mwehu
Mwaipopo ameropoka na amelindwa, swali letu ni hili, ni mzima au ni kichaa?tusije kuchuma dhambi
Ewaaaa!Uchaguzi umeisha ni MUHIMU tu focus na maendeleo