Tungekuwa na Vyombo vya Usalama vyenye Uzalendo, Sheikh Mwaipopo angeshatiwa nguvuni

Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana.

Kama magaidi yanajitangaza wazi wazi na hayafanywi chochote basi HATUNA serikali Kila mtu awe na kikundi chake Cha ulinzi Cha kujilinda yeye na familia yake.

Kwa kosa gani ????
 
Hiyo ndio kazi ya BAKWATA
 
CHADEMA hamnaga uwezo wa kujibu hoja kwa hoja zaidi ya Maneno ya shombo na matusi kama vichaa au wendawazimu
 
Back
Top Bottom