Tungekuwa na Vyombo vya Usalama vyenye Uzalendo, Sheikh Mwaipopo angeshatiwa nguvuni

Maneno aliyosema Mwaipopo angeyasema Askofu sasa hivi angekuwa ananyea debe na Kanisa lake kufungwa, lakini kwa vile Mwaipopo ni Sheikh wa BAKWATA ambayo ni jumuiya ya CCM basi hakuna hatua yoyote.
 
Ukiona Kobe juu ya mti Jua kapandishwa.
 
Angekuwa Chadema Ingefutwa
 
Nchi ipo katika wakati mgumu sana, mambo hayaendi kwa utaratibu, mifumo ya haki na sheria imewekwa mfukoni mwa chache, mwananchi wa kawaida hathaminiki tena, miradi ya maendeleo haiendi inavyopaswa, pesa zinatafunwa kwa kiwango cha juu, hali ni mbaya kiasi kwamba ukitoa maoni ya kurekebisha na kukemea pale mambo yanapoenda kombo unaonekana mchochezi na unataka kuvunja amani, hakika taifa linahitaji uponyaji
 
Huo usheikh kaupata wapi na lini John Mwaipopo?
Sidhani anaweza kutafsiri hata juzuu ya kwanza wanayofundishwa watoto wa miaka minne madrassa.
 
Tumeuliza makusudi ili labda tusije kushambulia Mwehu

Mwaipopo ameropoka na amelindwa, swali letu ni hili, ni mzima au ni kichaa?tusije kuchuma dhambi
Kwahiyo Moderator mnamuogopa Tapeli Mwaipopo hadi muunge huu Uzi?

Ni Aibu KUBWA sana ikiwa Mwaipopo aweza kuogopwa na JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…