Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Hilo halipo. Huwezi kukuta mwanaume kamili anayetamani kuwa mwanamke. Yani kitendo cha kufikiria kuwa mwanamke hutosha kuzalisha hasira na chuki ndani ya mwili wa mwanaume.Namba 4 ndo umeharibu
Wanaume wengi ndo hutamani kuwa wanawake
Naaam mkuuSawa sawa "Mstahiki Mea".
Naunga mkono hoja hii kuntu.
💪🏻najivunia kuzaliwa mwanaume.
Mpwayungu Village alikujaga na uzi kabisa anasema anatamani angezaliwa mwanamke.Namba 4 ndo umeharibu
Wanaume wengi ndo hutamani kuwa wanawake
Umemaliza kila Kitu🤝🏽Namba 4 ndo umeharibu
Wanaume wengi ndo hutamani kuwa wanawake
Mpuuzi huyo 🤣Mpwayungu Village alikujaga na uzi kabisa anasema anatamani angezaliwa mwanamke.
Hakuna shoga aliyewahi kuwa mwanaume mkuu, labda kama aliharibiwa udogoniNaona siku hizi wanaintelijensia uchwara wa kujitegemea mnazidi kuongezeka humu jf!! Kuwa mwanaume si mchezo!! Ushawahi jiuliza kwanini mashoga wanazidi kuongezeka(kama Cocastic na prince alex n.k)?? Ingekuwa kila mtu anapewa nafasi ya kuchagua awe na jinsia gani, kila mtu angechagua kutokana na matamanio yake binafsi!!
Ndio,, china sisi wanaume ni wengi kuliko wanawake hata India ,,, hizi nchi ndio zinachangia kwa kiasi kikubwa Sisi wanaume kuwa wengi kidogo duniani kuliko wanawake. Upumbavu wako wakutojua mambo usinilazimishie jinsia ,, penda kujifunza ufute ujingaChina ina wanaume wengi kuliko wanawake?
Bila shaka wewe ni mwanamke, kwa nondo hizi ulizotoa ukisema ni mwanaume itabidi uchunguzwe.
Na hawa wanaume wanatatuliwa marinda unadhani wangechaguwa jinsia gani?Suala la kuchagua jinsia ingekuwa ni hiari huenda wanawake wasingekuwepo au wangekuwa wachache sana. Sababu hizi hapa
1. Kwa mujibu wa tafuti kwa nchi zenye population control policy kama china wazazi huchagua zaidi kupata watoto wakiume kuliko wa kike. Ndio sababu china wanaume ni wengi sana ukilingamisha na wanawake
2. Wanawake wanachukia maumbile yao (kuyaonea aibu)
3. Mtazamo wa kijaamii,, katika jamii nyingi mwanamke huchukuliwa duni sana
4. Wanawake wengi hutamani kuwa wanaume
Maoni yako niayapi mdau
Wewe unadhani kuna mwanaume kamili anayewaza huo ujinga?Na hawa wanaume wanatatuliwa marinda unadhani wangechaguwa jinsia gani?