Tungekuwa tunachagua Jinsia kusingekuwa na wanawake

Tungekuwa tunachagua Jinsia kusingekuwa na wanawake

Binafsi sijawahi tamani kuwa mwanaume! Sijutii na sitokaa nikajutia! Kila mtu ana mawazo yake tusijumuishane kwneye mambo za namna hii!
Haya basi fanya utuletee Uncle wa JF, wengine hata tungeletewa Menu mpya tungechagua tuzaliwe Wanaume sio Wanaume wa kuchovya wale walio-left group la Wanaume na kutaka kua Wanawake nazungumzia Wanaume rijali
 
Hapana iweje uwe mwanaume rijari then utamani kupigwa Doggystyle..

Hata nguruwe Huwa hakoseagi kulengeshaga tundu la ASILI...

Hapana izo ni fikra kwanza hata hao mashoga wakipelekewaga mijegeje wanapata PLEASURE gani kwani Wana CLITORIS ushoga ni LAANA

All in all , still ningepata nafasi ya kuchagua still ninge chagua kuzaliwa MWANAUME
Huo ni mtazamo wako wewe kwa upande wako…!!

Hata mimi ndiomana nimekujibu bado nitachagua kuwa mwanamke..!!

Lakini eti suala la kusema mwanamke sijui ni majanga mara ooh wanatamani kuwa wanaume. Wapi tuliwaeleza hilo ikiwa wenyewe hapa tunakataa..!!

Kubali kataa miaka hii malezi ya mtoto wa kike yana afadhali kuliko wa kiume na chanzo cha yote haya ni WANAUME.
Sasa iweje mimi nichague kuwa mwanaume??
 
Sawa ila bila kufuata miongozo ya dini na malezi ya baba na mama KULEA MTOTO katika mtizamo chanya lazima aharibikiwe

Tumtangulize MUNGU kwa Kila jambo..
 
Namba 4 ndo umeharibu

Wanaume wengi ndo hutamani kuwa wanawake
Mkuu embu fanya jaribio

JARIBIO A: Fanya mjadala na mwanamke halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kiume.

JARIBIO B: Fanya mjadala na mwanaume halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kike.

Halafu angalia mwanamke akifananishwa na mwanaume, na mwanaume akifananishwa na mwanamke ni yupi anachukizwa zaidi

NB: Hapo kwenye jaribio B ukipigwa ngumi ya uso mimi simo
 
Naona siku hizi wanaintelijensia uchwara wa kujitegemea mnazidi kuongezeka humu jf!! Kuwa mwanaume si mchezo!! Ushawahi jiuliza kwanini mashoga wanazidi kuongezeka(kama Cocastic na prince alex n.k)?? Ingekuwa kila mtu anapewa nafasi ya kuchagua awe na jinsia gani, kila mtu angechagua kutokana na matamanio yake binafsi!!
Ushoga unahusiana nini na jinsia ya kike???
Au ufahamu wako unakuambia kuwa Shoga ni anatamani jinsi ya kike? Km hivyo si ni rahisi tyuu anaenda sehemu husika anabadili na kuwa mwanamke.

Ushoga uko nje ya hiyo kabisaa, tatizo la Bongo ni.
ELIMU, ELIMU, ELIMU.
 
Back
Top Bottom