cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ni kwa Africa pekee, tena nchi ya Giza km Tanzagiza..Mkuu embu fanya jaribio
JARIBIO A: Fanya mjadala na mwanamke halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kiume.
JARIBIO B: Fanya mjadala na mwanaume halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kike.
Halafu angalia mwanamke akifananishwa na mwanaume, na mwanaume akifananishwa na mwanamke ni yupi anachukizwa zaidi
NB: Hapo kwenye jaribio B ukipigwa ngumi ya uso mimi simo
Watu waliovuka fikra au upeo hawana hiyo mentality ya kipuuzi.
Hivyo tyuu