Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Wapenda shortcut watachagua kua wanawake π. nilicho JIFUNZA MIMI NI MAPAMBANO STILL NINGECHAGUA KUA MWANAUME...Hii umesema Ukweli jambo ambalo haliwezekani
Leo mvua kubwa sana dar es salaam TZ.Umetumia bangi ya wapi kijana?
Haya basi fanya utuletee Uncle wa JF, wengine hata tungeletewa Menu mpya tungechagua tuzaliwe Wanaume sio Wanaume wa kuchovya wale walio-left group la Wanaume na kutaka kua Wanawake nazungumzia Wanaume rijaliBinafsi sijawahi tamani kuwa mwanaume! Sijutii na sitokaa nikajutia! Kila mtu ana mawazo yake tusijumuishane kwneye mambo za namna hii!
Haaahaa βΊοΈβΊοΈ shukrani mkuu.Hapa umeongea fact lakini tukisema ukweli tunaonekana wabaya
Huo ni mtazamo wako wewe kwa upande wakoβ¦!!Hapana iweje uwe mwanaume rijari then utamani kupigwa Doggystyle..
Hata nguruwe Huwa hakoseagi kulengeshaga tundu la ASILI...
Hapana izo ni fikra kwanza hata hao mashoga wakipelekewaga mijegeje wanapata PLEASURE gani kwani Wana CLITORIS ushoga ni LAANA
All in all , still ningepata nafasi ya kuchagua still ninge chagua kuzaliwa MWANAUME
Mwenzenu anahisi kuna aina ya watu wanatamani jinsia tofauti na walizonazo! Wanawake wasipokuwepo nani atawazaa?Swala la kua mwanamke duu..still nilitamani kua MWANAUME.
AiseeeMwenzenu anahisi kuna aina ya watu wanatamani jinsia tofauti na walizonazo! Wanawake wasipokuwepo nani atawazaa?
Sawa ila bila kufuata miongozo ya dini na malezi ya baba na mama KULEA MTOTO katika mtizamo chanya lazima aharibikiweHuo ni mtazamo wako wewe kwa upande wakoβ¦!!
Hata mimi ndiomana nimekujibu bado nitachagua kuwa mwanamke..!!
Lakini eti suala la kusema mwanamke sijui ni majanga mara ooh wanatamani kuwa wanaume. Wapi tuliwaeleza hilo ikiwa wenyewe hapa tunakataa..!!
Kubali kataa miaka hii malezi ya mtoto wa kike yana afadhali kuliko wa kiume na chanzo cha yote haya ni WANAUME.
Sasa iweje mimi nichague kuwa mwanaume??
HahaUkimwambia hayo maneno mama yangu anaweza kukulaani
Mkuu embu fanya jaribioNamba 4 ndo umeharibu
Wanaume wengi ndo hutamani kuwa wanawake
Mailavu akee wee ungekubali ke tusiwepo????
Bora hivi hivi mpo...Mailavu akee wee ungekubali ke tusiwepo????
Mfyuuu! Kama nakuona unavofurahia awesome wetuBora hivi hivi mpo...
Wanawake mmeumbiwa utamu...Mfyuuu! Kama nakuona unavofurahia awesome wetu
Ukienda mbinguni waniite mbwakoko..!Wanawake mmeumbiwa utamu...
Ngoja mtetezi wa hao wanaume wanaotamani kuwa wanawake aje.Namba 4 ndo umeharibu
Wanaume wengi ndo hutamani kuwa wanawake
Ushoga unahusiana nini na jinsia ya kike???Naona siku hizi wanaintelijensia uchwara wa kujitegemea mnazidi kuongezeka humu jf!! Kuwa mwanaume si mchezo!! Ushawahi jiuliza kwanini mashoga wanazidi kuongezeka(kama Cocastic na prince alex n.k)?? Ingekuwa kila mtu anapewa nafasi ya kuchagua awe na jinsia gani, kila mtu angechagua kutokana na matamanio yake binafsi!!