Ni kwa Africa pekee, tena nchi ya Giza km Tanzagiza..Mkuu embu fanya jaribio
JARIBIO A: Fanya mjadala na mwanamke halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kiume.
JARIBIO B: Fanya mjadala na mwanaume halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kike.
Halafu angalia mwanamke akifananishwa na mwanaume, na mwanaume akifananishwa na mwanamke ni yupi anachukizwa zaidi
NB: Hapo kwenye jaribio B ukipigwa ngumi ya uso mimi simo
Sijawahi kuwa mtetezi wa wanaume wanaotamani kuwa wanawake, and then siwapangii ni uhuru wao..
Then nenda kaubiri ushoga uko kwa waliovuka fikra na upeo. Kwanini ung'ang'anie Tanzagiza.!Ni kwa Africa pekee, tena nchi ya Giza km Tanzagiza..
Watu waliovuka fikra au upeo hawana hiyo mentality ya kipuuzi.
Hivyo tyuu
Paragraph ya pili idadavue vizuri pliz!Sijawahi kuwa mtetezi wa wanaume wanaotamani kuwa wanawake, and then siwapangii ni uhuru wao..
Mie ni mtetezi wa mapenzi ya jinsia 1, iwe ni USHOGA au USAGAJI.
Upoo???
Mbona inaeleweka kabisaa.Paragraph ya pili idadavue vizuri pliz!
Kwani mie nahubiri ushoga?? Wapi na lini??Then nenda kaubiri ushoga uko kwa waliovuka fikra na upeo. Kwanini ung'ang'anie Tanzagiza.!
Nimekuelewa baada kuisoma mara tatu.Mbona inaeleweka kabisaa.
Swadaktaaaa.Nimekuelewa baada kuisoma mara tatu.
ukishatoka kwenye kufanya ukaingia kwenye kufanywa, sisi tunajua tu kuwa ulitamani kuwa mwanamke ili uwe unafanywa lakini ukazaliwa mwanaume!! Halafu kubadili jinsia come with cost!! Mashoga wengi wanaogopa side effects za kufanya gender transtion kwa sababu matibabu yake ni gharama sio mchezo!! UKIWA UNAONGEA UWE UNAFANYA RESEARCH YA KUTOSHA!! Ushoga ni ugonjwa wa akili unaomsababisha mtu wa jinsia ya kiume atamani kufanywa kama mwanamke, kwa sababu ya kukosa sehemu za siri za mwanamke, anaamua kugeuza matumizi ya puru lake ili aridhishe kiu yake ya kufanywa kama mwanamke(HII NDIO ELIMU WABONGO WANAIKOSA, YES ELIMU)!!Ushoga unahusiana nini na jinsia ya kike???
Au ufahamu wako unakuambia kuwa Shoga ni anatamani jinsi ya kike? Km hivyo si ni rahisi tyuu anaenda sehemu husika anabadili na kuwa mwanamke.
Ushoga uko nje ya hiyo kabisaa, tatizo la Bongo ni.
ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Kuna binti mmoja ananiambia angekua mwanaume angekua ana wabutua sana pisi kaliMkuu embu fanya jaribio
JARIBIO A: Fanya mjadala na mwanamke halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kiume.
JARIBIO B: Fanya mjadala na mwanaume halafu katikati ya maongezi mwambie ana mambo ya kike.
Halafu angalia mwanamke akifananishwa na mwanaume, na mwanaume akifananishwa na mwanamke ni yupi anachukizwa zaidi
NB: Hapo kwenye jaribio B ukipigwa ngumi ya uso mimi simo
Mawazo ya wanawake wengi utafikiri wameambiwa wanaume hawana choices.Kuna binti mmoja ananiambiaga angekua mwanaume angekua ana wabutuaga sana pisi kali
Itakuwa ni mrengo ule wa rangi nyingiMpwayungu Village alikujaga na uzi kabisa anasema anatamani angezaliwa mwanamke.
Wengi husema hivyo, kuna pisi nilikuwa nayo iliwahi sema ingekuwa me ingepita na marafiki wote wa ke wake. Nikamuuliza kwahiyo mimi ni ruksa kupita na marafiki zako, likaninuniaKuna binti mmoja ananiambiaga angekua mwanaume angekua ana wabutuaga sana pisi kali
Sema ukweli,😄Ila naona ningeopt kua mwanaume sio sababu ya maumbile ila mpo simple sana. Ningekua na suruali zangu mbili na mashati mawili. Ona sasa nimejaza kabati na bado kila siku nikiangalia nguo ya kuvaa sioni. Hivi wanaume mnapakaga sunscreen au hili jua lina madhara kwa wanawake tu? Mambo ni mengi mkiombwa hela mtoe.
Na nyie mkiombwa ee mtoeIla naona ningeopt kua mwanaume sio sababu ya maumbile ila mpo simple sana. Ningekua na suruali zangu mbili na mashati mawili. Ona sasa nimejaza kabati na bado kila siku nikiangalia nguo ya kuvaa sioni. Hivi wanaume mnapakaga sunscreen au hili jua lina madhara kwa wanawake tu? Mambo ni mengi mkiombwa hela mtoe.
Naona unataka kudanganywa sasa.Sema ukweli,😄
Kwa hali na mali. Tutaoa hali. LohNa nyie mkiombwa ee mtoe