Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
- Thread starter
- #21
Ni kweli. Kwa kila chawa apinganye ni nyuumbu kama wewe kkkkk!Sometimes manyumbu maneno na mawazo yenu mnakuwa kama mnapakatwaaaa!! Mafwala kabisa.
Ni kweli. Kwa kila chawa apinganye ni nyuumbu kama wewe kkkkk!Sometimes manyumbu maneno na mawazo yenu mnakuwa kama mnapakatwaaaa!! Mafwala kabisa.
Hamna kitu hapo... Chupa na mfuniko!View attachment 3666061
Hoja iko wazi kabisa.
Japo ni kizungumkuti sanaa na uchawa, kama wawili hawa wangeweza kupambanishwa, ungemchagua nani kati yao ?
Nini sababu ya kumchagua au kutomchagua?
Anafaa wapi na katika nini au kwanini hafai kabisa?
None of the duo pia inaweza kuwa kigezo.
Weka maoni yako tafadhali.
Ni kweli hasa kwa machawa wasio na akili bali uchawa na uzwazwa.Hamna kitu hapo... Chupa na mfuniko!
Ee MUNGU tafadhali ingilia kati. Tutenganishe na hawa wauaji!