View attachment 3666061
Hoja iko wazi kabisa.
Japo ni kizungumkuti sanaa na uchawa, kama wawili hawa wangeweza kupambanishwa, ungemchagua nani kati yao ?
Nini sababu ya kumchagua au kutomchagua?
Anafaa wapi na katika nini au kwanini hafai kabisa?
None of the duo pia inaweza kuwa kigezo.
Weka maoni yako tafadhali.