Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Kwa kweli ameonyesha maendeleo ya watu inawezekana, na kuonyesha CCM inaweza kutoa self-less leader, maana nilikua naona wana CCM wote wako corrupt
 
Tungefika ila kwa kuchoka sanaa
 
Kipi kuzur amefanya
Ametejesha Uhuru wakujieleza
Amewaondoa wasojulikana
Ameacha kuiba pesa za matajir
Ameacha kuteka wafanya Biashara
Ametia pesa kwenye mzunguko
 
Tatizo lake ni mwanamke halafu kutoka Zenji kwa hiyo wabaguzi wanamuona kama vile kapungukiwa na kitu fulani.

Tuna matatizo sana haswa watu wa bara, tuna mioyo migumu mno.
 
uliyetumwa kuja kumtetea humu mwambie kuwa huku mitaani kila kitu kimepanda bei achukue hatu kwani hata kama anaongoza wajinga sio hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…