Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Kama siyo Rais Samia Suluhu Hassan kulijaza tumbo lako kiasi cha kukaribia kuvimbiwa! Ungepata wapi nguvu na ujasiri wa kuleta uzi uliojaaa kila aina ya unafiki na kujipendekeza kama huu?
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
😀😀😀ukiwemo wewe
 
Daaaah

Kweli Samia ni Chaguo la Mungu,

Machozi yamenilenga hii mada aise, Mungu amlinde huyu Mama
Hata JPM mlikuwa mnaimba humu kila siku kuwa ni chaguo la Mungu na hata katiba ibadilishwe aongoze hadi 3000.
Lakini kufukiwa tuu kaburini hadi kina Bulembo wanamkana, ndio zenu hizo maccm. Unafiki wa kiwango cha juu hakuna mfano duniani, na huyo mama asidanganyike na unafiki wenu.
Hata Ndugai mlikuwa mnamsifu sana kwa jinsi alivyokuwa anawasulubu wapinzani kila uchao, juzi kuwatetea kuhusu mikopo ya hovyo kwa vile kamgusa mama yenu basi imekuwa nongwa mmemgeuka na hata hoja yake hamuioni tena, UNAFIKI MTUPU
 
Kama siyo Rais Samia Suluhu Hassan kulijaza tumbo lako kiasi cha kukaribia kuvimbiwa! Ungepata wapi nguvu na ujasiri wa kuleta uzi uliojaaa kila aina ya unafiki na kujipendekeza kama huu?
Daaah,
 
Wonderful news
 
Mada hii naipenda sana, Asante Mwandishi
 

Hawa chawa hawa kazi za kufanya.
 
Tungepata tabu sanaa
 
Tungekuwa tumechoka sana
 
Mama chapa kazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…