Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Umepangilia rundo la malalamiko. Siku zote mtanzania ni mtu mwenye haki ya kukosoa tu, hajiulizi wajibu wake katika hayo anayoyakosa ni upi. Mtanzania siku zote analalamika na kulialia tu.

Hakuna rais aliyekuja na akaonekana ni mwema kwa akili za kitanzania, siku zote zimejikita kuangalia matatizo hazina kabisa ubunifu.
 
Umeongea kweli tu,
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
Kazi inaendelea Tanzania
 
Unayo hoja mkuu,
 
Petrol juu,nondo juu,cement juu,mafuta ya kula juu,sukari juu....
Kwa Hali hiyo hata figure za mapato ya serikali lazima ziwe juu!
Na mapato ya namna hii hudumu Kwa muda mfupi,subiri kama watakutangazia mapato ya January!
kweli kilichofanyika ni kupandisha bei vitu ili mapato yawe makubwa wakitangaza waonekane wamefanya kazi kubwa ya ukusanyaji wa mapato bila kujali wanakusanya kwa njia ipi na kwa watu wapi.

watanzania tulio wengi ni maskini na ndy tunaotozwa kodi bila huruma.
 
Hakuna tena kama huyu Mama, Aungwe mkono kama kweli tunatamani kuona Tanzania inakuwa juu,
 
Imemshinda imemshinda imemshinda tena aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati unapata hofu usikute unaota ukaamka ukakuta Jamaa Bado ni Rais
 
Aah wewe tungekuwa na uwezo wa kuzichapa kama Mukraine vile!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…