Tungeshinda angesifiwa Mama sio wachezaji? Ndo maana Mungu anatukataa

Tungeshinda angesifiwa Mama sio wachezaji? Ndo maana Mungu anatukataa

Hawa Stars inabidi wakifungwa kila goli wamlipe Mama Sa100 mil 5
 
Taifa Stars isiingizwe kwenye harakati za watu kutaka kujijenga kisiasa. Imefungwa hata sijaumia kabisa. Irudi ile Taifa stars enzi za Jakaya hata kama ilikuwa ni matokeo mabaya watu tuliipenda lakini sasa hivi imegeuzwa kitengo cha burudani cha Wanasiasa hasa Chama Tawala
 
Back
Top Bottom