Taifa Stars isiingizwe kwenye harakati za watu kutaka kujijenga kisiasa. Imefungwa hata sijaumia kabisa. Irudi ile Taifa stars enzi za Jakaya hata kama ilikuwa ni matokeo mabaya watu tuliipenda lakini sasa hivi imegeuzwa kitengo cha burudani cha Wanasiasa hasa Chama Tawala