Tunisia: Wananchi waandamana wataka Rais ajiuzulu

Tunisia: Wananchi waandamana wataka Rais ajiuzulu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
tunis.JPG

Wananchi hao zaidi ya elfu moja wamemtaka Rais Kais Saied kuachia ngazi kutokana na mzozo wa kisiasa na kiuchumi unaoendelea.

Wakiandamana katika Mji Mkuu wa #Tunis huku wakipata upinzani kutoka kwa Askari katika baadhi ya maeneo, wamedai licha ya kumuunga mkono kiongozi huyo lakini Serikali yake imeshindwa kuendesha Nchi.

Inadaiwa madeni ya Nchi yameongezeka na Serikali imeshindwa kuagiza baadhi ya bidhaa muhimu ikiwemo kahawa, maziwa na sukari.

-------------- ------

Tunisia: Thousands rally against President Saied

Thousands of Tunisians have demonstrated against President Kais Saied as the country faces a deepening political and economic crisis.

A crowd gathered in the capital Tunis to demand the end of his government.

Tunisians who supported Mr Saied since he came to power in 2021 have grown increasingly frustrated with the state of the economy.

The protests come 12 years to the day since former dictator Zine al-Abidine Ben Ali was forced into exile.

Tunisia's uprising is often held up as the sole success of the Arab Spring revolts across the region - but it has not led to stability, either economically or politically.

With debts piling up, the country has struggled to import basic goods, including staples such as coffee, milk and sugar.

The government has so far unable to secure an international bailout leading one protester to tell the AFP news agency "the coup has brought us famine and poverty".

In Tunis' central Habib Bourguiba Avenue, a traditional site for demonstrations, Said Anouar Ali, 34, said: "Tunisia is going through the most dangerous time in its history.

"Saied took control of all authority and struck at democracy. The economy is collapsing. We will not be silent," he added.

The protests in the capital were organised by two different opposition groups with a heavy police presence outside the Interior Ministry to prevent scuffles.

Separately, protesters also marched against Mr Saied's seizure of near total power.

In 2021, the president sacked the prime minister, suspended parliament and pushed through a constitution enshrining his one-man rule.

The new constitution replaced one drafted soon after the Arab Spring in 2011, which saw Tunisia overthrow late dictator Zine al-Abidine Ben Ali. It gave the head of state full executive control and supreme command of the army.

Mr Saied has justified his actions by saying he needed new powers to break a cycle of political paralysis and economic decay.

Source: BBC, Aljazeera
 
Wananchi wakishaonja ladha ya kuandamana tuu, basi kakitokea kashida kidogo wanaingia road.
 
Yaani watu zaidi ya 1000 hawamtaki ndio ajiuzulu?
Halafu kahawa, maziwa na sukari havina umuhimu kuliko unga, mchele na mafuta
 
Mbona Egypt pametulia baada ya Sisi why Tunisia? Ukweli upo wazi huyu jamaa sio Wacha wamtoe hata mm nilijuwa atakiwasha tena kwa maamuzi yake ya kibabe. Dunia tunayo ishi kwa sasa tawala nyingi za ki imla Zita anguka nyie tulieni tu
 
Mbona Egypt pametulia baada ya Sisi why Tunisia? Ukweli upo wazi huyu jamaa sio Wacha wamtoe hata mm nilijuwa atakiwasha tena kwa maamuzi yake ya kibabe. Dunia tunayo ishi kwa sasa tawala nyingi za ki imla Zita anguka nyie tulieni tu
Ndiyo hiyo unayodai ni new world order?

Ebu fafanua vizuri kwanza ili twende sawa Chifu
 
Wananchi wakishaonja ladha ya kuandamana tuu, basi kakitokea kashida kidogo wanaingia road.
Bado egypt nao maana thamani ya pound yao imeporomoka sana juzi yaani 25%

Nao wataanza kuuwana sasa maana wamezoea kujimwaga barabarani kila jambo likitokea
 
Back
Top Bottom