Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rubya sijafika kitambo ila msitu bado upo na kilimo kinaendeleaJe Beach ya Rubya ipo na imeendelezwaje?
Vipi kilimo cha mpunga Bugorola?
imani hazipo kwa sasaNiliishi huko kati ya mwaka 90-93. Wkt huo imani na kishirikina zilikuwa juu sana. Nilikuwa mdogo lakini nilikuwa nayasikia hayo. Wkt huo hakukuwa na umeme na nyumba nyingi zilikuwa za tope. Ilikuwa inasemekana ukijenga ya tofali ukaimaliza, hutoishi, unakufa, watakaa wengine.
Rukumbuzya. ndio wa ukereweHuyo mtemi ni Rukumbuzya.
Bwimbo ni wa Kisorya au Ukerewe?
siku hizi hakuna mambo hayoKazi kulogana tu huko ndio maana wanakimbia
OK Mkuu. Kuna nyumba moja maarufu Kisorya maeneo ya Kabirizi inajulikana kama kwa BwimboRukumbuzya. ndio wa ukerewe
Ukerewe ndo sehemu ambayo watu hawajaelimika kabisa
"Wilaya hii ya Ukerewe inakumbukwa kwa kutoa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya mwaka 1991-1994,ambaye pia alikuja kuchaguliwa kuwa spika wa bunge kuanzia mwaka 2000 mpaka 2005"
Ungemtaja kwa faida ya wale wasiomjua
Hujui unachokisema, kati ya makabila ya kwanza tz kupata elimu ni Uk, maprofessor weng sana, nenda SUA, UDSM wapo kibao sema huwa hawarud home.Ukerewe ndo sehemu ambayo watu hawajaelimika kabisa
Hujui unachokisema, kati ya makabila ya kwanza tz kupata elimu ni Uk, maprofessor weng sana, nenda SUA, UDSM wapo kibao sema huwa hawarud home.
Nami mkerewe, najiandaa kwenda kusoma ulaya
Kumbe huyu Rc wa mwanza mama ake ndo yule getrude mongela??Ni Mh. Pius Msekwa
Lakini Pia Mama Gertrude Mongella mama yake RC wa Mwanza