Tunu ya Ukerewe

Tunu ya Ukerewe

Si kweli kwamba watu wake hawajaelimika bali baadhi ya watu wake hawajaelimika. Kisiwa cha Ukerewe kina idadi kubwa tu ya wasomi.
 
"Wilaya hii ya Ukerewe inakumbukwa kwa kutoa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya mwaka 1991-1994,ambaye pia alikuja kuchaguliwa kuwa spika wa bunge kuanzia mwaka 2000 mpaka 2005"

Ungemtaja kwa faida ya wale wasiomjua
 
Huyo mtemi ni Rukumbuzya.
Bwimbo ni wa Kisorya au Ukerewe?
 
hizo
Niliishi huko kati ya mwaka 90-93. Wkt huo imani na kishirikina zilikuwa juu sana. Nilikuwa mdogo lakini nilikuwa nayasikia hayo. Wkt huo hakukuwa na umeme na nyumba nyingi zilikuwa za tope. Ilikuwa inasemekana ukijenga ya tofali ukaimaliza, hutoishi, unakufa, watakaa wengine.
imani hazipo kwa sasa
 
Ukerewe ndo sehemu ambayo watu hawajaelimika kabisa

Una uhakika na ulisemalo???? kaulize kabila au sehemu iliyozalisha wasomi, maprofesa hata warusha ndege wa mwanzo hapa Tanzania achilia mbali wanariadha maarufu duniani. Ndugu fanya utafiti kwanza ili uwe na haki ya kutamka bila wasiwasi
 
"Wilaya hii ya Ukerewe inakumbukwa kwa kutoa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya mwaka 1991-1994,ambaye pia alikuja kuchaguliwa kuwa spika wa bunge kuanzia mwaka 2000 mpaka 2005"

Ungemtaja kwa faida ya wale wasiomjua

Ni Mh. Pius Msekwa

Lakini Pia Mama Gertrude Mongella mama yake RC wa Mwanza
 
Ukerewe ndo sehemu ambayo watu hawajaelimika kabisa
Hujui unachokisema, kati ya makabila ya kwanza tz kupata elimu ni Uk, maprofessor weng sana, nenda SUA, UDSM wapo kibao sema huwa hawarud home.
Nami mkerewe, najiandaa kwenda kusoma ulaya
 
Hujui unachokisema, kati ya makabila ya kwanza tz kupata elimu ni Uk, maprofessor weng sana, nenda SUA, UDSM wapo kibao sema huwa hawarud home.
Nami mkerewe, najiandaa kwenda kusoma ulaya

mpashe!!!
 
Back
Top Bottom