Tunuku vyeti na vyeo vya elimu na mpaka sifa leo Afrika imemzidi kipi Irani, kusini mwa Korea kuogopwa

Tunuku vyeti na vyeo vya elimu na mpaka sifa leo Afrika imemzidi kipi Irani, kusini mwa Korea kuogopwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo mengine afrika kama kichekesho.

Leo kuna sifa na vyeo wanapewa ila wakitingishwa wanaanza kutoa milio.

Hivi mfano iran unaweza kufananisha nchi gani hapa afrika.
 
Huku kwetu umeenda mbali sana, tuanze hapo hapo mashariki ya Kati tena tuanze na israel
 
Back
Top Bottom