GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika (Nje ya Uwanja) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo (hasa Jumatatu) Kinujumu (Kinyota na Kitarehe) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo.Yanga wakishinda leo basi itakuwa wamelegeza shingo na kutuma bahasha kwa mchungaji Mashimo.
Tofauti na hapo hawahami hiyo nafasi ya 3
Yanga SC wamezidiwa na Azam FC Kiutamaduni (Kindumba) na kuna Jambo la HATARI limefanyika ambalo litawabeba Kiushindi.Azam watatembeza bahasha kama kawaida
Nikajua azam wazee wa bahashaYanga SC wamezidiwa na Azam FC Kiutamaduni ( Kindumba ) na kuna Jambo la HATARI limefanyika ambalo litawabeba Kiushindi.
Ngoja tusubirie na Uzi wako huu usije ukatokomea kusikojulikana, na hatutaki uje na ngonjera nyingine hapa ukae kwa kutulia tunatunza risiti kwa matumizi ya baadae!Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?
Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Bado tupo na football ya imani kama hizi, kweli kule Egypt ndio bye bye, kama tunawaza haya madudu.75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika ( Nje ya Uwanja ) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo ( hasa Jumatatu ) Kinujumu ( Kinyota na Kitarehe ) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo.
Yaani kwa mtu kama mimi, sio shabiki sana wa mpira wa bongo nikiona maandishi haya nayaona kama vichaa wanaongeaa . Naomba ntarudi kwnye thread baada ya mechi.75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika ( Nje ya Uwanja ) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo ( hasa Jumatatu ) Kinujumu ( Kinyota na Kitarehe ) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo.
Makolo mnawaza UCHAWI Yu muda wote, mimi sijawahi ona kitu kama hicho. Yaani kama Mpira ni uchawi basi mngeshinda kule Africa Kusini mlikochoma uwanja.Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?
Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Kama bado ushirikina ndo nguzo ya ushindi kwa makolo basi tumewaacha mbali sana75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika ( Nje ya Uwanja ) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo ( hasa Jumatatu ) Kinujumu ( Kinyota na Kitarehe ) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo.
Mpuuz ni wewe na aliekuzaa kijana mwovu namna hiSasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?
Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Kaz yake kuu ni kufitinisha na kuharibia watu kazi sijui huko aliko anafanyake kazi na wenzakeAzam akifungwa jamaa ataendelea kudai Ibwe na Popat ni mawakala wa yanga