Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

Football ni science sio kelele wala blaablaa,ni mchezo wa wazi sio ngonjera ngonjera unazoleta.
 

Vipi hali yako huko uliko mtabiri tambi tambi?
 
yako wapi ,,,,,hakuna kamati ya ufundi ya kueleweka bongo hii inayoizidi yanga,,,,kuna game zinaachiwa kusafisha nyota tu mambo ya mahesabu
 
Aibu gani hii? Soma ubao
 
shida mnatumia system za kianalogia wakati Yanga wapo digital...ile ihefu game kupoteza ndo kafara za kidijitali hizo nyie mlishachelewa Yanga waliwawahi mapema sana kabla hamjawa na hilo wazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…