tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Moja kati ya makosa makubwa jamii forum ni kujuana na kukutana mkuu, angalia usijekupigwa ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Moja kati ya makosa makubwa jamii forum ni kujuana na kukutana mkuu, angalia usijekupigwa ban
Nimebakisha 4 hapo nifunge ukurasaMimi naanza kuonana na wafatao
Kapeace
Shunie
Sakayo
emmyta
Evelyn Salt
Za mipango ya hapa na pale wadau wenzangu mada ni hii tufanye mpango tuonane sisi wana jf ili tujuane ni ombi tu sorry kama nimekosea nawasilisha
TehMimi naanza kuonana na wafatao
Kapeace
Shunie
Sakayo
emmyta
Evelyn Salt
Jiandae hapo niko page ya kwanza[emoji3] [emoji3]
Kujiandaa na nini tena MwifwaJiandae hapo niko page ya kwanza[emoji3] [emoji3]
Jamani kichwa cha uzi kinasemaje?[emoji134]Kujiandaa na nini tena Mwifwa
Anataka tuonane usoni!Muonane wapi
Hahahahaha nenda kamwone utupe taarifaAnataka tuonane usoni!
Ntaenda. Nataka nikutane nae pale kwenye lango mbele ya wizara wa elimu!Hahahahaha nenda kamwone utupe taarifa
Hakikisha jina lake lipo na aendele na masomoNtaenda. Nataka nikutane nae pale kwenye lango mbele ya wizara wa elimu!
Hujambo Shunie
Sijambo Ely habari yakoHujambo Shunie
Habari yangu poa/njema tu mkuuSijambo Ely habari yako