Tuoanane tujuane

Tuoanane tujuane

Basi mi naomba nimuone mshana tu tafadhali wadau
 
Za mipango ya hapa na pale wadau wenzangu mada ni hii tufanye mpango tuonane sisi wana jf ili tujuane ni ombi tu sorry kama nimekosea nawasilisha

Mkuu tujuze we ni miongoni mwa wanaojulikana ama wasiojulikana jf?
 
Njoo shimoni k/koo kwenye matenga ya ndizi utanikuta hapa
 
Mbona tunaonana na kujuana tuu we chagua unaetaka kumjua mjuane Jf kuna maelfu ya watu wakisema kila mtu muonane utawakumbuka wote
 
Back
Top Bottom