Tuoe au tuache?

Tuoe au tuache?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo anakubali.

Nampa moyo dogo kuwa atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana dogo anaonekana kazama.

Baba wa mtoto anasihi kuwa na uvumilivu kwani kila mmoja anachangamoto zake akiamini atabadilika kadri wanavyomsema.

Wenye uzoefu, kuna alieona mabadiliko ya tabia mbaya ya kwenye uchumba kuondoka na mtu kujirekebisha ?

Hili ni linavumilika?
 
Shemwji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndo anakubali.

Nampa moyo dogo kua atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana dogo anaonekana kazama.

Nasoma comments.
 
Ataishi maisha ya mashaka sana, huyo kitaalam anakulikana kama pathological liar.

Ni disorder inayoambana na narcissist na antisocial disorder. Sio rahisi kubadilika
 
Wengine tumeshaona red flag [emoji626] 200 na bado tumeshikia bomba [emoji28]hisia zikishindana na akili lazima hisia zishinde kipumbavu [emoji28]
 
Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo anakubali.

Nampa moyo dogo kuwa atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana dogo anaonekana kazama.

Baba wa mtoto anasihi kuwa na uvumilivu kwani kila mmoja anachangamoto zake akiamini atabadilika kadri wanavyomsema.

Wenye uzoefu, kuna alieona mabadiliko ya tabia mbaya ya kwenye uchumba kuondoka na mtu kujirekebisha ?

Hili ni linavumilika?
DHAMBI INAANZIA KWENYE UONGO MZEE

ELEWA NENO DHAMBI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom