Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo anakubali.
Nampa moyo dogo kuwa atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana dogo anaonekana kazama.
Baba wa mtoto anasihi kuwa na uvumilivu kwani kila mmoja anachangamoto zake akiamini atabadilika kadri wanavyomsema.
Wenye uzoefu, kuna alieona mabadiliko ya tabia mbaya ya kwenye uchumba kuondoka na mtu kujirekebisha ?
Hili ni linavumilika?