Tuoe Wapi?

Tuoe Wapi?

Nchi 15 za Afrika zinazoongoza kwa viwango vya talaka, ingawa ni muhimu kutambua kuwa viwango vya talaka vinabadilika kulingana na mabadiliko ya kijamii, kisheria, na utamaduni:

1. Uganda

2. Sierra Leone

3. Zambia

4. Kenya

5. South Africa

6. Tanzania

7. Nigeria

8. Ghana

9. Malawi

10. Botswana

11. Namibia

12. Mozambique

13. Liberia

14. Cote
d'Ivoire (Ivory Coast)

15. Zimbabwe
 
No5
 
Kama una hela utampata mtutsi ila sahau kumtia mimba. Atatafutiwa mtutsi mwenzake wa kutia mimba tuu wewe utalea, utake usitake ni hivyo. Usijejaribu kuuliza habari za DNA, ndo mwisho wà uhai wako
Duh kwanini?
 
Wanawake ni wale wale wale tu mkuu na wazungu waliwatetea sana na kuwekaa 50 Kwa 50 ikawapa jeuri haswaa ...

Ss Ili ww wasikupe presha lipia huduma akupee unachokitaka kwakee nawe mpe pesa yakee pitaa hv,,njee na hapo n Kila cku utauliza uoe wapii..

Jana nimekutana na mmoja hapo shamo tower nikachukua namba ,kufika mchana naombwa lakii ,HAKI nililiaa sanaaa😭😭😭😭😀😀😀😀😀
 
Nenda ngara omba kibarua fanya uchunguzi kwa wahangaza wengi wanasifiwa kuwa wife material mkuu
 
Lakini malezi ndio hu determine tabia ya mtu malezi ya wanawake wengi wa bongo ni ya hovyo
Ukitaka kufurahia ndoa hapa Bongo oa Mzaramo, Mmatumbi, Mndengereko au Mngindo.. hao ni Wife Material.. kwanza wanajituma, wana heshima na hawachepuki ovyo fanya hivyo utakuja kunishukuru..
 
Wanawake ni wale wale wale tu mkuu na wazungu waliwatetea sana na kuwekaa 50 Kwa 50 ikawapa jeuri haswaa ...

Ss Ili ww wasikupe presha lipia huduma akupee unachokitaka kwakee nawe mpe pesa yakee pitaa hv,,njee na hapo n Kila cku utauliza uoe wapii..

Jana nimekutana na mmoja hapo shamo tower nikachukua namba ,kufika mchana naombwa lakii ,HAKI nililiaa sanaaa😭😭😭😭😀😀😀😀😀
😂Duh lakini haitakiwi kuoa mwanamke kwaajili ya pesa
 
Back
Top Bottom