Tuoe Wapi?

Tuoe Wapi?

Kutokana na mazingira na tamaduni za watu ndio zinajenga watu kama Congo eneo la Goma wanawake wengi wanamaadili ukienda kwa wasukuma wenye maadili utaona wanavyo behave kwahiyo hata eneo Lina mchango mkubwa sana kwasababu ya maadili ya eneo fulani
Basi uende huko mkuu, maana ushapata mwelekeo
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Biblia inasema "Tuishi nao kwa akili" ww unakimbilia kuhama nchi sawa ,unadhani huko utakakoenda hutakutana na changamoto
 
Unaposema wanawake wote unamaanisha nini? Hadi aliyekuzaa?
 
Back
Top Bottom