Tuoe Wapi?

Mkuu tuwekee list nzima nikaoe kwenye ile ya mwisho.
 
Kuna sehemu nikikutajia uniletee wanawake wa hovyo utashindwa ila Kuna mahali bongo nikikutajia basi logically wanawake wa huko ni hovyo
Umeona ulivonielewa.....Bongo unaijua vizuri,Rwanda sijui Kenya Huifahamu ....Usifanye hitimisho kisa watu wa5 kati ya 10 ,kuna wa5 bado ni bora
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
acha kujidanganya mkuu, hiyo bongo unayosema wanawake ni wa hovyo umetembea yote? huo u hovyo umeuona wapi? zimwi likijualo halikuli ukaisha sasa jichanganye kwa wanyarwanda ushuhudie rangi ambazo hujawah ziona
 
Uko sahihi, oa Rwanda au hata Burundi na Congo ila Waethiopia wanaringaga sana, wanataka wanaume wanaofanana na kaka zao (mara nyingi).
 
Sio wanawake wote bro lakini asilimia kubwa kutokana na utamaduni wa Sasa ni hovyo
 
Uko sahihi, oa Rwanda au hata Burundi na Congo ila Waethiopia wanaringaga sana, wanataka wanaume wanaofanana na kaka zao (mara nyingi).
Tunawaambia hapa kutokana na tamaduni za hizi nchi ukitafiti wengi ndoa nyingi zinadumu kuliko bongo
 
Sio wanawake wote bro lakini asilimia kubwa kutokana na utamaduni wa Sasa ni hovyo
hiyo asilimia kubwa umeitoa wapi mkuu? labda umezunguka mikoa yote Tanzania ndio ukapata hiyo asilimia?
 
Kaoe binamu zako.Hao ni ndugu xako hawatakusumbua.
 
hiyo asilimia kubwa umeitoa wapi mkuu? labda umezunguka mikoa yote Tanzania ndio ukapata hiyo asilimia?
Research mkuu ndio inasema Kuvunjika kwa ndoa nyingi Tanzania kunachangiwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na matatizo ya kifedha, maadili, na kutokuelwana. Utafiti wa Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu (2019) umeonyesha kuwa ndoa nyingi zinaathiriwa na mabadiliko ya kijamii, ambapo wanawake wanapata uhuru zaidi kiuchumi na kijamii, pia utandawazi nao unasabibisha .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…