Sioni namna yoyote huyu urusi anaenda kuyaachia hayo maeneo aliyojitangazia....naona yupo tayari hata kwa kujitoa mhanga!
Nikiiangalia ile sura ya Putin siku anasema na kuihusisha nuclear, nauona wazi ujumbe wa 'bora iteketee mbali dunia yenyewe kuliko hawa West kunipelekesha'.....alikazia mara kadhaa kwa jicho kavu kuwa 'urusi haitanii safari hii'.
Jana imeripotiwa nyambizi yenye uwezo wa kubeba nuclear ipo baharini inarandaranda....
Kwamba Nord 1 & 2 yake vihujumiwe ye akae tu na minyukilia yake ndani?!!!
Kwamba nato wamdhihaki ye akae tu na minyuklia yake?!!!
Kwamba maadui wafike kremlin, ye akae tu anawaangalia na minyuklia yake?!!!!
Kwamba mambo yamharibikie mrusi mchina akae tu asifanye lolote kwa ajili ya kujiham8 nae?!!!!
Kwamba waongezewe vikwazo hadi washindwe kupumua nchini kwao nae akae anaangalia tu na minyuklia yake?!!!!
Huyo jamaa naona yupo tayari kwa lolote sasa!!!