Tuombe Mungu, nami sasa naiona ww3 mlangoni!

Nani yupo tayari kumuunga mkono Russia kwenye hiyo WWIII? Kumbuka mpaka leo China na India waligoma kumuunga mkono toka mwanzo.
 
Unafikiri nuclear ni maandazi sio ?
 
Nauthibitisho gani kwamba waligoma au wewe moyo wako ndio umegoma
Ila mkuu ni ngumu sana kitu cha nuke kikiwaka eti China nae ajiingize upande wa russia..hakuna anaetaka hiyo inshu hata NATO wanajikakamua tu Ila huo mzigo wanauelewa vizuri balaa lake...hata putin mwenyewe analijua hili kuwa ni disaster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…