Tuombe mwisho mwema ndugu zangu

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629

Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo..

Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo...

Unamuona mweupe na mweusi hapo?

Umemuona handsome hapo?

Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo?

Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo??
Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo?

SHORTLY
Huna uzuri wowote, huna elimu yeyote huko uendako kinachotakiwa ni kumcha Mungu na kuepukana na maovu...

Mungu atuongoze na atujaalie mwisho mwema🤲
 
Mbona mwenye "forehead" nimemuona hapo
 
Kuna mahali kwenye bango la kuingia makaburini palikuwa pameandikwa HATA SISI TULIKUWA KAMA NYIE.. Niliogopa sana
 
Kuna mahali kwenye bango la kuingia makaburini palikuwa pameandikwa HATA SISI TULIKUWA KAMA NYIE.. Niliogopa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…