Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo..
Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo...
Unamuona mweupe na mweusi hapo?
Umemuona handsome hapo?
Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo?
Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo??
Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo?
SHORTLY
Huna uzuri wowote, huna elimu yeyote huko uendako kinachotakiwa ni kumcha Mungu na kuepukana na maovu...
Mungu atuongoze na atujaalie mwisho mwema🤲