Tuombeane tumalize mwaka salama

Mkuu unadhani sanduku la kura ndio linachagua viongozi nchi hii?
Kura zikipigwa Kwa wingi, na kukawa na utaratibu wa kuzilinda lazima mshindi atatangazwa

Niliwahi kuona ushindi wa Sugu Mwaka 2010, ulilindwa na akatangazwa

Muhimu Wananchi Kwa wingi wao, wakawanyima kura hawa watesi wetu

Kitendo cha kuwapa kura ni kuhalalisha utekaji na mauaji Kwa kisingizio cha Wasiojulikana
 
🙏🙏🙏
 
Nakuombea usiingie kwenye hilo jaribu maana si mguu wala mkono vinaweza kukuokoa na mikono ya hawa mashetani
 
Nakuombea usiingie kwenye hilo jaribu maana si mguu wala mkono vinaweza kukuokoa na mikono ya hawa mashetani
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli mkuu tuombe na tuombeane tuumalize mwaka salama na mwakani kuwe na usalama mungu akipenda,,lkn sijui kwanini hali hii imezidi kipindi hiki,je ni pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya!! Nini hasa tatizo?
 
hakika Mungu awe WA kwanza katika kila jambo
 
Kweli mkuu tuombe na tuombeane tuumalize mwaka salama na mwakani kuwe na usalama mungu akipenda,,lkn sijui kwanini hali hii imezidi kipindi hiki,je ni pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya!! Nini hasa tatizo?
Uroho wa madaraka na siasa za majitaka vimechangia pakubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…