Tuombeane tumalize mwaka salama

Tuombeane tumalize mwaka salama

Mkuu unadhani sanduku la kura ndio linachagua viongozi nchi hii?
Kura zikipigwa Kwa wingi, na kukawa na utaratibu wa kuzilinda lazima mshindi atatangazwa

Niliwahi kuona ushindi wa Sugu Mwaka 2010, ulilindwa na akatangazwa

Muhimu Wananchi Kwa wingi wao, wakawanyima kura hawa watesi wetu

Kitendo cha kuwapa kura ni kuhalalisha utekaji na mauaji Kwa kisingizio cha Wasiojulikana
 
Mungu atuvushe salama, Mimi na wewe tukutane mwakani 2025 panapo majaaliwa yake Mola wetu mtukufu.

Happy new year 2025 in-advance to you all 🥂

God bless you all 🙏🙏🙏🙏📌🔨❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💪🏿
🙏🙏🙏
 
Ni hatari Sana aisee .
Ndiyo maana Mimi kwasasa asubuhi na mapema niko mlimani kuongeza pumzi na kujaza vigimbi vya miguu .

Jioni napiga ulanzi nazama shamba kulima jembe la mkono ili afya yangu iwe fit wakijaa kwenye mfumo wangu nitajaribu kuwatembezea kipigo Ila nikiona sio kweli basi miguu iniokoe .
Nakuombea usiingie kwenye hilo jaribu maana si mguu wala mkono vinaweza kukuokoa na mikono ya hawa mashetani
 
20241218_051429.jpg
 
Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.. Ukimaliza siku salama na kurudi kibandani kwako unamshukuru Mungu sana!
Ukikaa mahali lazima kwanza uangalie kushoto kulia mbele nyuma na ilibidi juu chini kama kuna sura zisizo za kawaida ziko nawe sambamba!
Ukipigiwa simu na namba ngeni ni shida pia.. Unakosa amani na kujiuliza kama hiyo simu ni ya kheri
Ukiendesha gari hali ni hiyohiyo.. Ni lazima kila wakati uangalie side mirrors na driving mirror kama hufuatiliwi..
Kupotea watu kumeongezeka
Kutekwa watu ndio kabisa.. Kusikia ya kwamba yule aliyepotea kaokotwa kafa si jambo la kustua sana tena!

Mwanzoni ilichukuliwa ya kwamba wakosoaji wa mfumo ndio wahanga wakuu lakini kwasasa tusidanganyane, yeyoye, popote na muda wowote linaweza kumkuta la kumkuta!
Sasa hivi hata mambo binafsi yameingizwa kwenye huo mfumo! Kuna wengine ni wahanga wa bahati mbaya na wengine ni wahanga kwa kusingiziwa tuu
Tulichodhani mwanzoni ni kuundiwa hofu, sasa ni kitisho dhahiri.. Ni kuwindwa kama mnyama!
Tuombeane sana sana tuweze kuumaliza mwaka huu salama maana hakuna aliye salama na kesho ni mbali kuliko jioni ya leoView attachment 3178594
Kweli mkuu tuombe na tuombeane tuumalize mwaka salama na mwakani kuwe na usalama mungu akipenda,,lkn sijui kwanini hali hii imezidi kipindi hiki,je ni pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya!! Nini hasa tatizo?
 
hakika Mungu awe WA kwanza katika kila jambo
 
Kweli mkuu tuombe na tuombeane tuumalize mwaka salama na mwakani kuwe na usalama mungu akipenda,,lkn sijui kwanini hali hii imezidi kipindi hiki,je ni pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya!! Nini hasa tatizo?
Uroho wa madaraka na siasa za majitaka vimechangia pakubwa sana
 
Back
Top Bottom