Wanajeshi wa Afghanistan sio wajinga wala sio kama hawakuwa na vifaa vya kupigana. Ila rushwa na ufisadi vilizidi ndio mana wakona bora wakose wote kuliko kuwe na unyonyaji wa wachacheKwa maumivu haya,Nina wasi wasi Kuna siku nitakua gaidi,nianze kuvizia haya majitu yanayoleta maumivu nayachapa risasi
Ukute wewe ndounamaisha magumu kuliko hata mleta madaYani maisha yamekuwa magumu Kwa kukatwa 2000 kwa miezi miwili?
Kunywa sumu ufe, hii nchi ili isonge mbele haihitaji Watu aina yako
Pole kwa wote... sote tunajenga nchi yetu...Pole kiongozi.
Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.
Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.
Nyumba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo.
Nimemwambia Mwenye nyumba aende TRA kutoa mita yetu akasema kama nimeichoka nyumba yake nihame au anipandishie kodi. Nimebak njia panda. Japo tunajenga nchi yetu lakini makato yamezidi
οΏΌ
View attachment 1903075
Hahaha..Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.
Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.
Nyumba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo.
Nimemwambia Mwenye nyumba aende TRA kutoa mita yetu akasema kama nimeichoka nyumba yake nihame au anipandishie kodi. Nimebak njia panda. Japo tunajenga nchi yetu lakini makato yamezidi
οΏΌ
View attachment 1903075
Usidharau 2500 kwa sababu unayo omba sana Mungu usipite kwenye hali hiyoLipeni kodi, nchi inahitaji maendeleo! Kikubwa pesa ifanye kazi tuliyoahidiwa!
Halafu unanunuaje umeme wa buku mbili aiseeee!! Ukinyoosha nguo moja si ushaisha??
Foolish age!Lipeni kodi, nchi inahitaji maendeleo! Kikubwa pesa ifanye kazi tuliyoahidiwa!
Halafu unanunuaje umeme wa buku mbili aiseeee!! Ukinyoosha nguo moja si ushaisha??
Usidharau 2500 kwa sababu unayo omba sana Mungu usipite kwenye hali hiyo
Unakuwa na Mali za urithi co bureYani maisha yamekuwa magumu Kwa kukatwa 2000 kwa miezi miwili?
Kunywa sumu ufe, hii nchi ili isonge mbele haihitaji Watu aina yako
Sina ubaya na hiyo tozo lakini lazima utambue kuna watu wengi hiyo ni gharama kubwa sana.Nilijua inaweza kuleta mtizamo hasi kwa baadhi ya memba na sikutaka kuandika sana!!
Refer tangazo la Tanesco la kuanza kwa makato na ndiyo utaelewa nilichomaanisha si dharau ila ushauri!! Wamesema usinunue umeme wa 2,000 hivi unategemea nini ukinunua wa 2,500!?
Check mwingine huyu πππ Tate Mkuu
Yani maisha yamekuwa magumu Kwa kukatwa 2000 kwa miezi miwili?
Kunywa sumu ufe, hii nchi ili isonge mbele haihitaji Watu aina yako
Ukinunua wa 2500 unapewa unit mojaNilijua inaweza kuleta mtizamo hasi kwa baadhi ya memba na sikutaka kuandika sana!!
Refer tangazo la Tanesco la kuanza kwa makato na ndiyo utaelewa nilichomaanisha si dharau ila ushauri!! Wamesema usinunue umeme wa 2,000 hivi unategemea nini ukinunua wa 2,500!?
Check mwingine huyu πππ Tate Mkuu
Hii inamaanisha mpaka wenye nyumba waende huko tra kusema meter ni yao tutakua tumekatwa sana. Imagine jibu la mwenye nyumba ni hiloMajibu ya mwenyenyumba ndo yamenifurahisha..
Kama umechoka hama...
Hahaha
Kuna uwezekano kua wewe si mtanzaniaLipeni kodi, nchi inahitaji maendeleo! Kikubwa pesa ifanye kazi tuliyoahidiwa!
Halafu unanunuaje umeme wa buku mbili aiseeee!! Ukinyoosha nguo moja si ushaisha??