Tuombeane Watanzania, sababu tuna hali ngumu sana ambayo hatukuizoea

Tuombeane Watanzania, sababu tuna hali ngumu sana ambayo hatukuizoea

na ndiye aliesababisha huyo Magufuli unaemkataa awe rais,

Ee si mlikuwa mnasema ni raisi dhaifu..akasema ngoja hawa kenge niwapelekee moto..akatuletea jiwe bana!!!

Acha watanzania wakaangwe banawee😀😀
 
Ee si mlikuwa mnasema ni raisi dhaifu..akasema ngoja hawa kenge niwapelekee moto..akatuletea jiwe bana!!!

Acha watanzania wakaangwe banawee😀😀
ngoja hawa kenge niwapelekee moto.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akili yako siyo nzuri. Siyo wote ni matajiri kama wewe. Watanzania tulio wengi tunaangukia kundi la huyu muungwana. Tunanunua umeme wa sh 3,000/= kwa mwezi kwa ajili ya mwanga tu wakati wa usiku. Mshukuru Mungu kwa ulicho nacho. Usimcheke ambaye hana.
Na kama Mungu kamjalia ridhki, haimanishi yeye ni mjanja sana ama mtaftaji sana.
 
hivi bado nauliza...ni kila unuapo unakatwa 2,000/- au ni once per mwezi!!!! .......haya maumivu haya....tufanye kazi kwa bidii wandugu....kila kitu kitawekewa tozo sasa hivi.....
 
hivi bado nauliza...ni kila unuapo unakatwa 2,000/- au ni once per mwezi!!!! .......haya maumivu haya....tufanye kazi kwa bidii wandugu....kila kitu kitawekewa tozo sasa hivi.....
Mkuu bado kuna makato ya vocha
 
Vile CCM wanajifanya kuupiga mwingi kupitia mgongo wa Polisi,TISS na tume ya uchaguzi wakati wameshapitwa na wakati siku nyingi sana!😁😁😁
View attachment 1912204
AA3bhl.jpg
 
Hii ishu ya makato c mara moja kwa mwezi au mimi ndio cjaelewa,cio kila mda umeme ukiisha unakatwa
 
Back
Top Bottom