na ndiye aliesababisha huyo Magufuli unaemkataa awe rais,
Na kama Mungu kamjalia ridhki, haimanishi yeye ni mjanja sana ama mtaftaji sana.Akili yako siyo nzuri. Siyo wote ni matajiri kama wewe. Watanzania tulio wengi tunaangukia kundi la huyu muungwana. Tunanunua umeme wa sh 3,000/= kwa mwezi kwa ajili ya mwanga tu wakati wa usiku. Mshukuru Mungu kwa ulicho nacho. Usimcheke ambaye hana.
vocha sijanunua long sana........bundle sijaona ikikatwa....Mkuu bado kuna makato ya vocha
Ongeza sautiiiiiiVile CCM wanajifanya kuupiga mwingi kupitia mgongo wa Polisi,TISS na tume ya uchaguzi wakati wameshapitwa na wakati siku nyingi sana!πππ
View attachment 1912204
View attachment 1912212