Tuombeane

Natafuta rafiki ambaye tutakuwa tukiombeana na pia tunaweza kutengeneza kikundi cha kuombeana. Maombi husambaratisha milima.
Tupendane, tuombeane bila kuchoka
Mkuu hebu weka mambo wazi,kuombeana kivipi?
maana wewe na mwenzako Mshana Jr si ndo huwa mnatuletea mada za kishirikina?,na neno la Mungu linasema "Tuache michanganyo".
 
Kwel Mkuu Nguvu za mshana zinatuzidi siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…